AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto para PC
Información
Novedades
Kurekebisha tatizo la baadhi ya watumiaji kushindwa kujiunga
Kuboreshwa kwa muonekano na mfumo wa app kwa ujumla
Kuongezwa kwa huduma ya “KUPATA UJAUZITO”
Kuboreshwa kwa huduma ya “MTOTO”
Kuongezwa kwa Nyenzo (TOOLS)
Uwezo wa kujiunga na JAMII ya wajawazito na wazazi wengine
Jiunge kwa namba ya simu au E-mail
Badili password uliyoisahau kiurahisi
MATUMIZI
Aplicación Kwa ujumla ya AfyaTrack inakuwezesha:
1. Kupata ushauri kwa makala na nyenzo mbalimbali kukusaidia "KUPATA UJAUZITO" wenye afya na kwa wakati.
2. Kufuatilia maendeleo ya "UJAUZITO" wiki hadi wiki tangu kutungwa kwa mimba mpaka kujifungua.
3. Kufuatilia hatua za ukuaji na maendeleo ya afya ya "MTOTO" tangu kuzaliwa mpaka miaka mitano (5).
4. Kujiunga na kuwasiliana na "JAMII" kubwa ya wajawazito na wazazi wengine kwenye mtandao wa AfyaTrack.Com en foros zake kwa ujumla.
Kujiunga:
Kujiunga ni rahisi sana. Utahitaji kuwa na E-mail yako, namba yako ya simu na tarehe yako ya kuzaliwa tayari kuweza kujiunga na AfyaTrack app. Baada ya kujiunga na kuingia ndani ya app (Iniciar sesión) utachagua huduma unayotaka kufuatilia halafu ingiza tarehe husika, kisha utapelekwa moja kwa moja kwenye ukurasa wa ufuatiliaji huduma husika.
Unaweza ukabadilisha taarifa za "Cuenta" yako hapo baadae, ikiwemo kubadilisha huduma unayotaka kufuatilia kwa kubonyeza alama ya uso (icono de la cara) iliyopo juu kabisa kulia kwenye app.
HAKI MILIKI:
Taarifa, Makala na Ushauri wowote uliopo kwenye aplicación AfyaTrack en AfyaTrack.Com ni mali ya AfyaTrack. Kunakili, kuchapisha au kushirikisha wengine kwenye tovuti nyingine au mitandao ya kijamii bila kutushirikisha au kuomba idhini kutoka uongozi wa AfyaTrack ni kwenda kinyume na sheria zetu za haki miliki.
ANGALIZO
Taarifa na maelezo yote yaliyopo kwenye app hii na tovuti ya AfyaTrack.Com yasitumike kubatilisha au kama mbadala wa ushauri na huduma kutoka kwa mtaalamu toka kituo cha afya. AfyaTrack chini ya Afya4All Group inakutahadharisha kuwa haitahusika kwa namna yoyote ile na matokeo ya maamuzi yako utakayochukua kutokana na taarifa hizi zinazotelewa kama taarifa na ushauri kwa jamii yote kwa ujumla.
Taarifa na ushauri huu usitumike kama mbadala wa ushauri utakaopewa na daktari, mkunga au mtoa huduma kutoka kituo rasmi cha afya.
Kama una wasiwasi au tatizo kuhusu ujauzito au mtoto wako tafadhali wasiliana na daktari wako au mtoa huduma wa afya karibu yako.
Timu nzima ya AfyaTrack inakutakia ujauzito mwema, kujifungua salama na malezi mema na afya bora kwako na kwa mtoto wako.
WASILIANA NASI:
Web: http://afyatrack.com
Facebook: http://facebook.com/afyatrak
Twitter: http: @afyatrak
Instagram: @afyatrack
HUDUMA KWA WATEJA:
Tunajitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kuboresha huduma za AfyaTrack ili kukuwezesha kupata taarifa sahihi na kwa wakati. Je una ushauri au mawazo ya kutusaidia kuiboresha aplicación hii? Tuandikie barua pepe: feedback@afyatrack.com
Instrucciones de instalación
Cómo instalarlo AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto para PC con BlueStacks
Gracias a BlueStacks podrás ejecutar apps para Android en tu PC. BlueStacks funciona como la clásica interfaz de Android. En lugar de utilizar gestos táctiles, este móvil virtual se controla con el ratón y el teclado.
- En primer lugar, debe instalar el software Bluestacks en su computadora o computadora portátil: descargar BlueStacks
- Después de Bluestacks, ahora debe descargar el archivo APK de AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto: haga clic aquí
- Abra la aplicación Bluestacks ya instalada en su PC / Laptop. En la barra de herramientas de la esquina izquierda, encontrará una opción de Agregar APK. Cargue el archivo APK usando la opción en Bluestacks. Haga clic en eso.
- Te preguntará acerca de la ubicación donde guardaste el APK descargado. En mi caso, lo he guardado en el escritorio, así que estoy seleccionando eso.
- Ahora instalará automáticamente la aplicación en Bluestacks. Encontrará el AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto en la pestaña de aplicaciones en la pantalla principal de la ventana Bluestacks.
- Ahora, ya está todo listo para usar AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto en la PC. Aquí está el AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto que se ejecuta con éxito en mi PC después de la instalación y hace clic en la aplicación.
Cómo instalarlo AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto para PC con Nox App Player
Nox App Player es un programa para ordenador que se encarga de emular un entorno Android para que el usuario pueda jugar a cualquier juego de la Play Store sin necesidad de utilizar un dispositivo móvil. Resulta muy útil para aquellos usuarios que disponen de un dispositivo desfasado o que prefieren aprovechar la potencia de su ordenador en los mejores juegos de Android.
- En primer lugar, debe descargar el reproductor de la aplicación Nox - https://es.bignox.com/, haga clic en el software para comenzar la instalación en su computadora / computadora portátil.
- Ahora, descargue el archivo APK de aquí.
- Después de la instalación, abra el reproductor de NOX. En la esquina derecha de la caja de herramientas, encontrará una opción de 'Agregar APK'. Haga clic en esa opción.
- Seleccione No volver a mostrar y haga clic en Sé.
- Debes elegir el APK de la ubicación descargada. Como lo guardé en el escritorio, elijo desde allí. (Si su archivo descargado está en el área de Descargas, seleccione .APK desde allí)
- Nox instalará automáticamente la aplicación. Ábrelo desde la pantalla de inicio del reproductor de la aplicación Nox.
- Luego se le preguntará si desea cambiar su ubicación de 'Mundial' a cualquier ubicación en particular. Inicialmente, elija la opción Más tarde.
- Ahora, está listo para usar la aplicación con algunos enlaces de sitios web preexistentes integrados en la aplicación.
- Nota: Use ESCAPE para regresar a la pantalla de inicio o puede usar los símbolos para operar AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto en PC NOX app player.
Valoraciones y reseñas
Otras versiones
Opiniones
(*) is required
También te puede interesar
Más de este desarrollador
Apps populares