Tafakari Injili para PC

Valoración: 5,0/5 - ‎1 votos
Última versión: 1.0
Descargas: 5.000+
Actualizada: 2024/04/25

Información

Precio: Gratis
Tamaño: 12 MB
Versión actual: 1.0
Nombre de paquete: com.tafakariinjili.app
Categoría: Libros y obras de consulta
Desarrollador: AlberaInfoTech
Compatibilidad: Android 4.1 y versiones posteriores
Permisos: [ Más ]
Capturas de pantalla: [ Ver todo ]

Hii ni app ambayo imeandaliwa mahususi kwa lengo la kusaidia mkristo kukua kiroho kupitia vipengele mbalimbali vilivyo jumuishwa ndani yake ikiwa ni pamoja na Kipengele cha:

1: Aya Za Biblia
Hapa tunapata Aya mbalimbali za Biblia zilizowekwa kwenye makundi mbalimbali kama vile Aya zinazohusu Amani, Imani, Familia, Upendo, Ahadi za Mungu, Ulinzi wa MUngu, Uvumilivu, Kushinda Hofu n.k. Yote ikiwa na lengo la kuwasaidia namna ya kusimamia neno la Mungu kulingana na halia ama changamoto wanazopitia


2: Nukuu
Maneno mbalimbali kutoka kwa walimu wa mafundisho ya neno la Mungu na kutoka kwa watumishi mbalimbali wa Mungu ambayo yatatusaidia kusimama kiimani na kukuza imani yetu ndani ya Mungu katika Kristo Yesu.

3: Tafakari Fupi
Kutoka katika sura fulani ya biblia na kulingana na ROHO MTAKATIFU ​​atakavyotuongoza tunapata tafakari ya neno la Mungu ambayo inatupa uelewa wa kina kuhusu jambo fulani katika maisha, kwa leno la kukuza imani katika maisha, kwa leno la kukuza imani mawe naye kutupaini todavía Mungu.

4: Masomo
Tunatazamia kuwa na masomo yanayo husu maeneo mbalimbali katika Imani na maisha, ambayo yatakuwa na mtiririko mzuri kuanzia sehemu ya kwanza Hadi ya mwisho. Kwa mfano tunaweza kuwa na masomo yanayohusu "IMANI", "NGUVU YA DAMU YA YESU", "MALANGO", "NDOA", "MALEZI NA FAMILIA" mtiririko mzuri.

3: Aya ya siku / ujumbe wa siku
Aplicación Kupitia kila siku utakuwa unapokea Aya kutatoka sura tofauti tofauti za biblia zilizowekwa kwenye makundi mbalimbali kama vile Aya zinazohusu Amani, Imani, Familia, Upendo, Ahadi za Mungu, Ulinzi wa MUivuku n. Yote ikiwa na lengo la kutiana moyo, kukumbusha ahadi a Mungu, kukumbusha maangizo ya Mungu na kwa ujumla wake kukuza Imani kama mtoto wa Mungu hasa kulinga na halifulani ya maisha ambayo mtu anapitia
Unaweza kutumia aya hizi kumshirikisha ndugu, rafiki, jamaa na watu wengine, kuwainjilisha, kuwaongoza na kuwashauri ikiwa wapo kwenye uhitaji wa namna hiyo, tukizingatia kuwa uhitaji wetu kiroho nayu na kimwili yanaweza kuwasaidia kuvuka katika changamoto mbalimbali ama kuzitumia kumshinda shetani.

4: Juego / mchezo
Huu ni mchezo wa maswali na majibu kutoka katika sura mbalimbali za biblia, ambazo zimegawanyika katika makundi matatu,
- Moja maswali kutoka agano jipya,
- Pili maswali kutoka Agano la kale na
- Tatu mchanganyiko wa Maswali kutoka Agano jipya na la Kale.
Lengo kubwa ni kuongeza uelewa na ufahamu katika kusoma biblia Kwa watoto na watu Wazima pia ambao watakuwa na swali fulani ambalo wanaweza kujibu na kupima uelewa wao katika maandiko.

5: Ujumbe kwa njia ya Sauti
--Katika kipengele hiki Tunatazamia kuwa jumbe mbalimbali za neno la Mungu na masomo vitapatikana pamoja na Nyimbo za injili ambapo watu wanaweza kusikiliza na kupakua bila shida yoyote.

6: Kipengele Cha mawasiliano
Hapa tutajikita zaidi katika masuala ya Maoni, ushauri na maswali ikiwa mtu anahitaji kufanya hivyo, Basi uwanja huu utamfaa sana.

Zab 54: 4
Tazama, Mungu ndiye anayenisaidia; Bwana ndiye anayenitegemeza nafsi yangu.

Flp 4:13
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
Tuombeane katika kuitenda kazi ya Bwana.

Mungu asema: “Nitakufunza na kukuonesha njia unayopaswa kufuata. Nitakushauri kwa uangalifu mkubwa.

Instrucciones de instalación

  1. Cómo instalarlo con BlueStacks
  2. Cómo instalarlo con Nox App Player

Cómo instalarlo Tafakari Injili para PC con BlueStacks

Gracias a BlueStacks podrás ejecutar apps para Android en tu PC. BlueStacks funciona como la clásica interfaz de Android. En lugar de utilizar gestos táctiles, este móvil virtual se controla con el ratón y el teclado.

  1. En primer lugar, debe instalar el software Bluestacks en su computadora o computadora portátil: descargar BlueStacks
  2. Después de Bluestacks, ahora debe descargar el archivo APK de Tafakari Injili: haga clic aquí
  3. Abra la aplicación Bluestacks ya instalada en su PC / Laptop. En la barra de herramientas de la esquina izquierda, encontrará una opción de Agregar APK. Cargue el archivo APK usando la opción en Bluestacks. Haga clic en eso.
  4. Te preguntará acerca de la ubicación donde guardaste el APK descargado. En mi caso, lo he guardado en el escritorio, así que estoy seleccionando eso.
  5. Ahora instalará automáticamente la aplicación en Bluestacks. Encontrará el Tafakari Injili en la pestaña de aplicaciones en la pantalla principal de la ventana Bluestacks.
  6. Ahora, ya está todo listo para usar Tafakari Injili en la PC. Aquí está el Tafakari Injili que se ejecuta con éxito en mi PC después de la instalación y hace clic en la aplicación.

Cómo instalarlo Tafakari Injili para PC con Nox App Player

Nox App Player es un programa para ordenador que se encarga de emular un entorno Android para que el usuario pueda jugar a cualquier juego de la Play Store sin necesidad de utilizar un dispositivo móvil. Resulta muy útil para aquellos usuarios que disponen de un dispositivo desfasado o que prefieren aprovechar la potencia de su ordenador en los mejores juegos de Android.

  1. En primer lugar, debe descargar el reproductor de la aplicación Nox - https://es.bignox.com/, haga clic en el software para comenzar la instalación en su computadora / computadora portátil.
  2. Ahora, descargue el archivo APK de aquí.
  3. Después de la instalación, abra el reproductor de NOX. En la esquina derecha de la caja de herramientas, encontrará una opción de 'Agregar APK'. Haga clic en esa opción.
  4. Seleccione No volver a mostrar y haga clic en Sé.
  5. Debes elegir el APK de la ubicación descargada. Como lo guardé en el escritorio, elijo desde allí. (Si su archivo descargado está en el área de Descargas, seleccione .APK desde allí)
  6. Nox instalará automáticamente la aplicación. Ábrelo desde la pantalla de inicio del reproductor de la aplicación Nox.
  7. Luego se le preguntará si desea cambiar su ubicación de 'Mundial' a cualquier ubicación en particular. Inicialmente, elija la opción Más tarde.
  8. Ahora, está listo para usar la aplicación con algunos enlaces de sitios web preexistentes integrados en la aplicación.
  9. Nota: Use ESCAPE para regresar a la pantalla de inicio o puede usar los símbolos para operar Tafakari Injili en PC NOX app player.

Valoraciones y reseñas

5,0 de 5 - 1 votos

Opiniones

(*) is required

  • RECEIVE_BOOT_COMPLETED
  • INTERNET
  • WRITE_EXTERNAL_STORAGE
  • ACCESS_NETWORK_STATE
  • WAKE_LOCK
  • FOREGROUND_SERVICE
  • READ_EXTERNAL_STORAGE