Pangilia Herufi na Akili para PC

Valoración: 4,8/5 - ‎21 votos
Última versión: 1.0.0
Descargas: 10.000+
Actualizada: 2023/12/29

Información

Precio: Gratis
Tamaño: 66 MB
Versión actual: 1.0.0
Nombre de paquete: com.enuma.ubongo.SpellingSW
Categoría: Educativo
Desarrollador: Ubongo
Compatibilidad: Android 4.4 y versiones posteriores
Permisos: [ Más ]
Capturas de pantalla: [ Ver todo ]

Labda mtoto wako ameanza kujifunza alfabeti au ameanza kujifunza kupanga maneno, Pangilia herufi na Akili itamsaidia kuwa mpanga herufi mzuri mwenye kujiamini!

KWANINI UPAKUE PANGILIA HERUFI NA AKILI?

- NGAZI: Kila ngazi inayofuata ina changamoto zaidi kuliko iliyopita
- UBORA: imetengenezwa na timu ya watu waliobobea katika fani za elimu / ufundishaji, uhandisi wa programu za simu ya mkononi, wabunifu wa michoro / picha, watengenezaji wa katuni na uhandisi wa sauti
- UHAKIKISHO: Programu hii imebuniwa kulingana na matokeo ya utafiti ya jinsi watoto wadogo wanavyoweza kujifunza vizuri zaidi
- UTAMBULISHO: Akili ni mtoto mwenye miaka minne, mdadisi, mwerevu na anayependa kujifunza ... mfano wa kuigwa kwa watoto wote

JINSI INAVYOFANYA KAZI

Chagua kati ya ngazi 16 kuanzia rahisi hadi ngumu! Kila ngazi inamkusanyiko wa maneno saba ya kupangilia, huku Ikiwa imepangiliwa kama mchezo na kuambatana na picha. Neno litatamkwa kwa sauti.

Kwenye ngazi rahisi, mpira wenye herufi utaondolewa kwenye neno na mchezaji atatakiwa kujaza herufi kwenye neno kwa kuweka mpira wenye herufi mahali sahihi. Kwenye ngazi ya juu, mipira tofauti tofauti yenye herufi imeondolewa hivyo mchezaji!

Kupangilia herufi, shika na usogeze mipira yenye herufi. Utakapokuwa unaisogeza utasikia matamshi ya herufi. Ukifanikiwa kuiweka mahali sahihi itabaki hapo, kama sivyo itarudi pálido ulipoitoa.

FAIDA ZA KUJIFUNZA

* Jifunze na kuzoea kupangilia maneno kwa usahihi
* Jifunze uwezo wa kushirikisha mikono na macho
* Jifunze kutokata tamaa, jaribu mpaka ufanikiwe
* Cheza mwenyewe
* Furahia kucheza huku unajifunza
 

VIPENGELE MUHIMU

- Maneno 136 yaliyoambatana na picha
- Matamshi sahihi ya herufi na maneno
- Programu hii ni mahali salama kwa ajili ya mtoto wako kucheza
- Kwa ajili ya watoto wenye miaka mitatu, minne, mitano na sita
- HAKUNA maksi za juu, hivyo hakuna kushindwa wa la mkazo
- Inafanya kazi bila intaneti

APP JARIBU KATIKA KIINGEREZA

Kujifunza maneno yaliyo muhimu katika kiingereza, pamoja na jinsi ya kupangilia herufi zake, pakua App ya Spelling with Akili https://play.google.com/store/apps/details?id=com.enuma.ubongo.SpellingEN

TELEVISIÓN KIPINDI CHA - AKILI Y YO

Akili y yo ni katuni zenye kuburudisha na kuelimisha kutoka Ubongo, watengenezaji wa Ubongo Kids na Akili and Me - vipindi vizuri vya kujifunza vilivyotengezwa Afrika kwa ajili ya Waafrika.

Akili ni mtoto mwenye miaka minne na mwenye udadisi, anaishi na famiia yake karibu na mlima Kilimanjaro, nchini Tanzania. Ana siri moja, kila usiku anapokuwa amelala, anaingia kwenye ulimwengu wa maajabu unaoitwa Lala land, ambako yeye na marafiki zake ambawo ni wanyama tofauti tofauti wanajifunza lugha, herufi, nambari na sanaa nakaku makuwau maku maku maku makwau ya maisha ya mtoto mdogo!

Angalia video za Akili and Me kwenye mtandao au tembelea kwenye tovuti ya www.ubongo.org ili ujue kama vipindi vinaonyeshwa katika nchi yako.

KUHUSU UBONGO

Ubongo ni shirika la kijamii linalotengeneza vipindi vyenye kuelimisha na kuburudisha kwa ajili ya watoto barani afrika kwa kutumia teknolojia ambazo wanazo. Tunawaburudisha watoto waweze KUJIFUNZA na KUPENDA KUJIFUNZA!

Tunatumia nguvu ya burudani, vyombo vya habari, na simu za mkononi kuwafikishia vipindi vyenye ubora wa hali ya juu, kuelimisha, kuburudisha na vilivyotengenezwa kwa ajili ya mazingira yetu.

KUHUSU APRENDIZAJE CURIOSO

Aprendizaje curioso ni shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na kusambaza maudhui ya kujifunza kwa kila anaehitaji. Sisi ni timu ya watafiti, wasanidi programu na waelimishaji tuliojikita katika kuwapa watoto waliopo mahali popote na elimu ya kujua kusoma na kuandika katika lugha zao za asili kwa kutumia ushahidi na data.

PROGRAMA KUHUSU

Soma na Akili - Maeneo Mengi Tofauti! Imetengenezwa na mfumo wa Curious Reader uliotengenezwa na Curious Learning kwa ajili ya kutengeneza njia ya kusoma yenye kumhusisha mtumiaji.

Instrucciones de instalación

  1. Cómo instalarlo con BlueStacks
  2. Cómo instalarlo con Nox App Player

Cómo instalarlo Pangilia Herufi na Akili para PC con BlueStacks

Gracias a BlueStacks podrás ejecutar apps para Android en tu PC. BlueStacks funciona como la clásica interfaz de Android. En lugar de utilizar gestos táctiles, este móvil virtual se controla con el ratón y el teclado.

  1. En primer lugar, debe instalar el software Bluestacks en su computadora o computadora portátil: descargar BlueStacks
  2. Después de Bluestacks, ahora debe descargar el archivo APK de Pangilia Herufi na Akili: haga clic aquí
  3. Abra la aplicación Bluestacks ya instalada en su PC / Laptop. En la barra de herramientas de la esquina izquierda, encontrará una opción de Agregar APK. Cargue el archivo APK usando la opción en Bluestacks. Haga clic en eso.
  4. Te preguntará acerca de la ubicación donde guardaste el APK descargado. En mi caso, lo he guardado en el escritorio, así que estoy seleccionando eso.
  5. Ahora instalará automáticamente la aplicación en Bluestacks. Encontrará el Pangilia Herufi na Akili en la pestaña de aplicaciones en la pantalla principal de la ventana Bluestacks.
  6. Ahora, ya está todo listo para usar Pangilia Herufi na Akili en la PC. Aquí está el Pangilia Herufi na Akili que se ejecuta con éxito en mi PC después de la instalación y hace clic en la aplicación.

Cómo instalarlo Pangilia Herufi na Akili para PC con Nox App Player

Nox App Player es un programa para ordenador que se encarga de emular un entorno Android para que el usuario pueda jugar a cualquier juego de la Play Store sin necesidad de utilizar un dispositivo móvil. Resulta muy útil para aquellos usuarios que disponen de un dispositivo desfasado o que prefieren aprovechar la potencia de su ordenador en los mejores juegos de Android.

  1. En primer lugar, debe descargar el reproductor de la aplicación Nox - https://es.bignox.com/, haga clic en el software para comenzar la instalación en su computadora / computadora portátil.
  2. Ahora, descargue el archivo APK de aquí.
  3. Después de la instalación, abra el reproductor de NOX. En la esquina derecha de la caja de herramientas, encontrará una opción de 'Agregar APK'. Haga clic en esa opción.
  4. Seleccione No volver a mostrar y haga clic en Sé.
  5. Debes elegir el APK de la ubicación descargada. Como lo guardé en el escritorio, elijo desde allí. (Si su archivo descargado está en el área de Descargas, seleccione .APK desde allí)
  6. Nox instalará automáticamente la aplicación. Ábrelo desde la pantalla de inicio del reproductor de la aplicación Nox.
  7. Luego se le preguntará si desea cambiar su ubicación de 'Mundial' a cualquier ubicación en particular. Inicialmente, elija la opción Más tarde.
  8. Ahora, está listo para usar la aplicación con algunos enlaces de sitios web preexistentes integrados en la aplicación.
  9. Nota: Use ESCAPE para regresar a la pantalla de inicio o puede usar los símbolos para operar Pangilia Herufi na Akili en PC NOX app player.

Valoraciones y reseñas

4,8 de 5 - 21 votos
5
1
4
0
3
0
2
1
1
19

Opiniones

(*) is required

  • INTERNET
  • WRITE_EXTERNAL_STORAGE
  • READ_EXTERNAL_STORAGE
  • READ_LOGS
  • INTERNET